habari Mpya


Taswira ya Sehemu Maji yatakapopita kwenda kwenye Mtambo wa kufua Umeme Rusumo.

Eneo la Mradi wa Umeme Rusumo likionyesha sehemu maji ya kwenda kwenye mtambo wa kufua umeme yatakapopita ‘Tunnel’.

Mradi huu wa umeme ambao unatazamiwa kuzalisha megawati 80 za umeme iwapo utakamilika na unatarajiwa kukamilika  Februari 2020.


Post a Comment

0 Comments