habari Mpya


Taharuki Ngara-Mvua Yaezua Paa la Madarasa Shule ya msingi Kabalenzi.

Mvua iliyonyesha leo December 3, 2018 majira ya saa 6 mchana ikiambatana na upepo mkali  imeezua paa la madarasa katika Shule ya msingi Kabalenzi wilayani Ngara mkoani Kagera.

Hakuna kifo wala majeruhi zaidi ya miundombinu ya majengo kuharibika.
 
 
 

Post a Comment

0 Comments