habari Mpya


Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza Mugoma Sekondari Ajiua kwa Kujinyonga.

26941357_1729956390377597_2042703138_o
Jengo la Kituo cha Habari cha Radio Kwizera FM lililopo mjini Ngara mkoani Kagera.

Na Juventus Juvenary –RK Ngara 97.9

Mwananfunzi  wa Kidato cha Kwanza miaka 15  katika Shule ya Sekondari Mugoma iliyopo Kata ya Mugoma wilayani  Ngara mkoani Kagera amekutwa chumbani  nyumbani kwa   wazazi wake  akiwa amejinyonga kwa kutumia kamba ya katani.
  
Simulizi ya Mwanahabari wetu Juventus Juvernary  inaelezea  Hapa chini BOFYA PLAY ilivyotokea kijana huyo kujinyonga.

Post a Comment

0 Comments