habari Mpya


Jeshi la Polisi Kagera Lachunguza Kifo cha Mtoto Frolian Frederick Kufia kwenye Jengo la Mfanyabiashara Kanzali Leonard.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kagera Revocatus Malimi Akizungiza tukio la mtoto Frolian Frederick mwenye umri wa miaka 13 mkazi wa Kashai, Manispaa ya Bukoba aliyekutwa amefariki huku mwili wake ukiwa umenginia kwenye uzio wa jengo la mfanyabiashara wa vipuli Bw Kanzali Leonard analolitumia kama ghara la vifaa.

Amesema kuwa Jeshi hilo linamshikilia mfanyabiashara huyo kwa ajili ya uchunguzi kwani tukio hilo lilitokea ikiwa ni muda mfupi ametoka ofisini kwake na kwamba uchunguzi utakapokamilika mwili wa marehemu utakabidhiwa kwa wazazi wa mtoto ili kuendelea na taratibu za mazishi.

BOFYA PLAY KUSIKILIZA SIMULIZI KAMILI.

Post a Comment

0 Comments