![]() |
Hivi
karibuni madiwani wa kata tatu za halmashauri ya mji na wilaya ya kasulu
wamejiuzulu nafasi zao na kujiunga na chama cha mapinduzi na kata zao kubaki
wazi bila uwakilishi katika mabaraza ya halmashauri.
Mwenyekiti
wa CCM wilaya ya Kasulu Bw. Abdallah
Mbelwa amethibitisha kuwapokea Bw. Evance Buchonko wa Kata ya Msambara kupitia ACT
Wazalendo, Bw.
Ayubu Ngaraba Kata ya Kigondo na Bw. Eliya Kagoma Kata ya Kitanga
wote Kupitia NCCR-MAGEUZI.
|
0 Comments