habari Mpya


Taswira Mvua ilivyoezua paa la bati la Jumba la Vijana mjini Kibondo.

Madhara ya Mvua iliyonyesha October 13, 2018 mjini Kibondo mkoani Kigoma na kuezua paa la bati la Jumba la Vijana maarufu Jumba la CCM mjini Kibondo.

Post a Comment

0 Comments