habari Mpya


Picha / Habari -Ajali ya Basi la Kiazi Kitamu na Land Cruiser la TCRS–Kakonko,Mtu mmoja Kafariki.

Mtu mmoja amefariki na wengine wawili kujeruhiwa baada ya magari mawili kugongana leo October 1,2018 katika kijiji cha kazilamihunda Wilayani Kakonko mkoani Kigoma.

Mwanahabari wetu Samuel Lucas amezungumza na Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Kanali Hosea Ndagala ili kujua chanzo cha Ajali hiyo.

BOFYA PLAY KUSIKILIZA.
Post a Comment

0 Comments