habari Mpya


Wazungu Waitelekeza Ndege Ndogo Kijijini na Kutokomea Pasipo Julikana kwa Kutumia Pikipiki.

Ndege ndogo aina ya AQUILLA MICROLIGHT 912  iliyotua katika kijiji cha Chambo Harmashauri ya Ushetu Wilayani kahama mkoani Shinyanga ikiwa na Wazungu wawili ilizua taharuki kwa baadhi ya wananchi baada ya wazungu hao kuitelekeza na kuondoka na Pikipiki na kuelekea kusiko Julikana.

Mwanahabari wetu SAMUEL LUCAS Amezungumza na  Mwenyekiti wa kamati ya Ulizi na Usalama ya Wilaya ya Kahama ambaye Pia ni Mkuu wa wilaya BW.ANAMRINGI MACHA ili kujua undani wa tukio hilo.

HAPA CHINI BOFYA PLAY KUSIKILIZA MAHOJIANO.

Post a Comment

0 Comments