habari Mpya


Wawili Washikiliwa na Jeshi la Polisi Kwa Kukutwa na Kichwa cha Mtu Ndani ya Nyumba.

Mji wa Buseresere,Geita.

Watu wawili ambao ni wakazi wa Kijiji cha Ibondo  “B”Tarafa na kata ya Buseresere Wilaya ya Chato Mkoani Geita wanashikiliwa na jeshi la Polisi  kwa kukutwa na kichwa cha mtu ndani ya Nyumba ambayo wanaishi.

Isikilize hapa chini Taarifa yake Mwanahabari wetu Elias Zephania kutoka Wilayani Chato Mkoani Geita.


Post a Comment

0 Comments