habari Mpya


Taka Zaanza Kuzolewa Baada ya Kutangazwa Radioni.

Siku moja baada ya Radio Kwizera kutangaza kuhusu mrundikano wa taka  katika Mtaa wa Namanga  kata ya Nyihogo katika Halmashauri ya mji wa Kahama Mkoani Shinyang’a  wakazi wa halmashauri hiyo wamepongeza  Kituo cha Radio kwizera  kwa kuibua tatizo hilo ambapo sasa zimeanza kuzolewa.

Kutoka Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga Mwanahabari wetu Simon Dioniz anaundani wa taarifa hii.

 BOFYA PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA.

Post a Comment

0 Comments