![]() |
Akihojiwa
na Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC),
Mongella amesema
miili 42
imepatikana leo asubuhi, wakati mingine 44 ilipatikana jana.
“Watu 40
wameokolewa wakiwa hai, bado tunaendelea na zoezi la uokoaji,”
amesema
Mongella.
Zoezi la uokoaji
likiendelea kuongozwa na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri
wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliani, Isack Kamwelwe, Mkurugenzi wa
Upelelezi wa
Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz na Mkuu wa Jeshi la
Polisi
nchini, Inspekta Jenerali Simon Sirro
|
0 Comments