habari Mpya


Taswira - RC Kagera katika Maadhimisho ya Nane Nane Viwanja vya Kyakailabwa.

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti akikagua moja ya Bwawa la kufugia Samaki wakati wa kilele cha Maonyesho ya Nane Nane mkoani Kagera yanayofanyika Viwanja vya Kyabailabwa,Manispaa ya Bukoba leo August 8/2018.

Pamoja na mambo mengine Mkuu wa Mkoa wa Kagera ametembelea mabanda mbalimbali ya taasisi za Serikali na Watu Binafsi kujionea shughuli zinazofanywa.

Picha Na- Anord Kailembo –RK Bukoba.Post a Comment

0 Comments