habari Mpya


Taswira Picha Baada ya Mvua Kunyesha leo Bukoba.

Mvua iliyoanza kunyesha saa nne asubuhi ya leo August 21, 2018 maeneo  Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera yako hivi kwenye baadhi ya mitaa hapa Manispaa. 

 Tambua kwamba hizi ni barabara zenye lami –Picha Na Anord Kailembo –RK Bukoba.


Post a Comment

0 Comments