habari Mpya


Padre Missanga –‘’Asanteni kwa Ushirikiano wenu Wadau wa Radio Kwizera’’.

Padre Damas Missanga SJ aliyekuwa Mkurugenzi wa Radio Kwizera FM ya Ngara mkoani Kagera,kwa takribani miaka 12 amewaaga Wasikilizaji wa Radio Kwizera,Viongozi mbalimbali akiwashukuru kwa ushirikiano walioutoa kwake na Kufanikisha Mafanikio ya sasa ya Radio Kwizera.

 Akizungumza wakati wa Hafla ya Kumuaga August 4,2018 iliyofanyika kwenye Viwanja vya Radio Kwizera Mjini Ngara, Padre Missanga amesema anaamini ubora wa Radio Kwizera  utaboreshwa zaidi wakati wote.

Kwa sasa,Padre Damas Missanga atakuwa Nchini Marekani kwa shughuli za Kitume.

Bofya Hapa Kumsikiliza.

Post a Comment

0 Comments