habari Mpya


Mzee Petro Magogwa Awaomba waliomuahidi kumjengea Nyumba na kumsaidia Kutimiza Ahadi zao.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Ngara Bw. Aidan John Bahama, alipoitembelea familia ya mtoto Anthony Petro, na kuahidi kwamba kwa kushirikiana na wadau wengine, watamsaidia kumhifadhi karibu na huduma za kijamii.
Ujenzi huo unafanyika katika eneo jipya jirani na Kabanga mjini ambapo ujenzi huo kwa sasa umefikia hatua Lenta.

Mzee Petro Magogwa aliyetishiwa na mtoto wake Antony asiuze shamba vinginevyo atafikishwa kituo cha polisi ameomba waliomuahidi kumjengea nyumba na kumsaidia kutekeleza ahadi zao ili aache maisha ya kuhangaika.

Kutoka Wilayani  Ngara Mkoani Kagera  Mwanahabari wetu Shaaban  Ndyamukama  anataarifa  zaidi.

BOFYA KITUFE CHA PLAY KUSIKILIZA.

Post a Comment

0 Comments