habari Mpya


Kukamilika kwa Daraja la Ushetu Furaha kwa Wananchi wa Kata ya Burungwa na Ushetu -Kahama.

Moja ya Mradi Mkubwa unaotekelezwa na Kampuni ya Hi Gen katika halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyang’a na hili ni Daraja ambalo limegalimu zaidi ya shilingi milioni 400.

Picha Na Simon Dioniz –RK Kahama.
Daraja hili lenye urefu wa mita 58.8 kukamilika kwake litaunganisha kata mbili za Burungwa na Ushetu wilayani Kahama ambazo zilikuwa hazina mawasiliano wakati wa masika na kusababisha eneo hilo kujaa maji mengi hivyo shughuli za kimaendeleo kukwama.

Post a Comment

0 Comments