habari Mpya


Askofu Niwemugizi - ''Radio Kwizera ni Jukwaa la Matumaini''.

"Radio ni chombo Muhimu sana katika Jamii, Ni chombo cha Uinjilishaji", anasema Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge/Ngara mkoani Kagera, Seveline Niwemugizi wakati wa hafla ya Kumuaga aliyekuwa Mkurugenzi wa Radio Kwizera Padre Damas Missanga SJ ambaye kamaliza Utumishi wake wa miaka 12 toka July 2018 na sasa anaenda kufanya kazi nyingine nchini Marekani.

Sherehe hiyo imefanyika August 4/2018 katika viwanja vya Radio Kwizera mjini Ngara, mkoani Kagera.

Bofya Hapa Kumsikiliza.

Post a Comment

0 Comments