habari Mpya


Waziri Dakt.Kaleman Atoa ufafanuzi juu ya manufaa ya Umeme wa Rusumo mkoani Kagera

Serikali za Tanzania Burundi na Rwanda zimeridhishwa na hatua ya ujenzi wa mradi wa umeme wa maporomoko ya mto Rusumo ulioko wilaya ya Ngara mkoani Kagera unaotarajia kukamilika Februari mwaka 2020

Waziri wa nishati wa Tanzania Dkt Medard Kalemani akiongea baada ya kuzungukia mradi huo akiwa na mawaziri wa wa nishati wa nchi hizo  na kufanya kikao cha ndani amesema mradi huo unajengwa na wakandarasi wa kichina  na utagharimu dola za marekani 468. Kati ya hizo 
VIDEO ......MSIKILIZE WAZIRI DKT.KALEMANPost a Comment

0 Comments