habari Mpya


MUONEKANO WA ENEO LA MAFIGA MATATU KATIKA KATA YA KASANGE WILAYANI NGARA MKOANI KAGERA.

HABARI PICHA NA PADRE DAMAS MISSANGA
Kata ya Kasange ni moja kati ya kata 22 zilizopo wilayani Ngara mkoani Kagera ambapo  katika eneo hili ukitazama kwa makini picha hii inaonesha kuna mto wenye maji mengi,huu ni mto Ruvubu.

Mafiga haya matatu yanayo onekana katika picha hii ni milima mitatu ambapo ipo katika nchi tatu zinazopakana kwa maana ya Burundi Rwanda na Tanzania.

Mto Ruvubu umejaa maji kutokana na shughuri za ujenzi wa Mradi wa Umeme wa maporomoko ya Rusumo wilayani Ngara mkoani Kagera.

Mradi huu wa umeme unahusisha nchi 3 za Burundi Rwanda na Tanzania.

Post a Comment

0 Comments