![]() |
Bibi
huyu anaishi na wajukuu zake wa 3 na
amekuwa akihangaika kuwatafutia chakula wajukuu zake kwa kufanya kazi za
vibarua kwenye makazi ya watu.
Anaililia Serikali , Wadau na Jamii kumsaidia japo akajengewa Nyumba yenye chumba kimoja na mtu wa kuwanunulia sare na vifaa vya shule Wajukuu zake ili wapate kusoma.
Na- Anord
Kailembo –RK Bukoba.
|
0 Comments