habari Mpya


MPYAAA!! MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2018 HAYAHAPA

Baraza la mitihani Taifa NECTA latangaza matokeo ya kidato cha sita huku kiwango cha ufaulu kikitajwa kuongezeka kutoka asilimia 96.06 mwaka 2017 hadi asilimia 97.12mwaka huu.

Akitangaza matokeo hayo Katibu wa baraza la NECTA Dkt. Charles Msonde  amesema Jumla ya watahiniwa elfu 83na mia581 walio fanya mtihani wa kidato cha 6 mwezi Mei mwaka huu wamefaulu, ambapo wasichana walio faulu ni elfu 34na mia358,huku wavulana waliofaulu wakiwa ni elfu 49 na mia223.


Post a Comment

0 Comments