habari


Christopher Chiza Mgombea rasmi wa CCM Ubunge Jimbo la Buyungu-Kakonko.

Christopher Kajoro Chiza.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi  (NEC) tayari  imetangaza kufanyika kwa uchaguzi mdogo katika Jimbo la Buyungu, Mkoani Kigoma na uchaguzi huo utafanyika Agosti 12 mwaka huu.  

Kampeni tunatarajia zianze kufanyika kuanzia Julai 15 hadi Agosti 11,2018.
Post a Comment

0 Comments