habari Mpya


Atakaye Potosha Zoezi la Utoaji Kinga Tiba Magonjwa yasiyopewa Kipaumbele kuchukuliwa Hatua -Kigoma.

Serikali mkoani Kigoma imesema itawachukulia hatua za kisheria wananchi watakaobainika kupotosha juu ya zoezi la utoaji wa Kinga Tiba ya Magonjwa yasiyopewa kipaumbele mkoani humo.

 Hayo yameelezwa na Mkuu wa wilaya ya Uvinza Bi. Mwanamvua Mlindoko kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Kigoma brigedia general mstaafu Emmanuel Maganga katika uzinduzi wa zoezi Hilo lililofanyika kimkoa katika kijiji cha Mwakizega wilayani Uvinza.

Picha Na Adrian Eustus -RK Kigoma.

Mkuu wa wilaya ya Uvinza Bi. Mwanamvua Mlindoko kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Kigoma brigedia general mstaafu Emmanuel Maganga akimpa maji ya kunywa Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mwakizenga wakati wa uzinduzi wa zoezi Hilo lililofanyika kimkoa katika kijiji cha Mwakizega wilayani Uvinza.
 
 

Post a Comment

0 Comments