habari Mpya


Taswira ya Washiriki wa Semina kuhusu Kipindi cha BIMAYE Radio Kwizera FM-Ngara.

BIMAYE ni Kipindi Kipya Hapa #Radiokwizera Jiandae Kupata Elimu Zaidi Juu ya namna ya Kubuni Wazo lako La Biashara,Kusimamia wazo katika utekelezaji na Kupata Mafanikio/Maendeleo endelevu.

Kitakuwa kikiruka Radio Kwizera kila Jumanne Saa 1 usiku na Marudio yake Jumatano Saa 3 usiku.

Semina hiyo inawashirikisha Wanavikundi vya RK Salam Club ambao Mlezi wao Mkuu ni Radio Kwizera pamoja na Staff Radio Kwizera na inafanyika katika Ukumbi wa Kituo hicho Mjini Ngara.


Michango na Mawazo mbalimbali ya Washiriki  yalitolewa namna  Kubuni Wazo lako La Biashara,Kusimamia wazo katika utekelezaji na Kupata Maendeleo endelevu.Darasa linaendelea kuhusu BIMAYE ambacho ni Kipindi Kipya Hapa #Radiokwizera Jiandae Kupata Elimu Zaidi Juu ya namna ya Kubuni Wazo lako La Biashara,Kusimamia wazo katika utekelezaji na Kupata Mafanikio/Maendeleo endelevu.

Kitakuwa kikiruka Radio Kwizera kila Jumanne Saa 1 usiku na Marudio yake Jumatano Saa 3 usiku.

Post a Comment

0 Comments