habari


Mwenyekiti wa Vijana CCM Taifa azitaka halmashauri zote mkoani Kagera kuwajali Vijana,Wanawake na walemavu.

Pichani ni Mwenyekiti wa umoja wa vijana CCM Taifa Bw.Kheri James.
MULEBA NASHAFIRU YUSUFU
Halimashuri zote mkoani Kagera zimetakiwa kuwezesha vikundi vya vijana,Wanawake na Walemavu  kuwawezesha  kupata mikopo kwenye halimashauri zao ili waweze kujikwamua kiuchumi.

Wito huo umetolewa na mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi  taifa Bw.Kheri James katika ziara yake inayoendelea Mkoani Kagera ambapo amepokelewa jana mkoani Kagera na ziara yake imeanzia halimashauri ya wilaya ya Muleba.
walemavu hali hiyo itawasidia kuondokana na hali ya kuwa tegemezi kwenye jamii ikiwemo kupewa asilimia kumi kutokana na mapato ya ndani ya halimashauri husika.Bw.James amesema kuwa iwapo Halmashauri zote mkoani Kagera zita saidia vikundi vya Vijana ,wanawake na Kwa upande wake mkuu wa wilaya ya Bukoba Bw.Deodatus Kinawilo ambaye alimwakilisha mkuu wa mkoa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salmu Kijuu amesema halimashauri zote zinaendelea kutoa mikopo kwenye vikundi vya kina mama, vijana na walemavu hivyo watashirikiana na jumuiya za chama hicho kuhakikisha wanapata mikopo.

Pichani ni Baadhi ya wajumbe walio hudhuria mkutano huo wakifuatilia kilicho kuwa kikiendelea.


Post a Comment

0 Comments