habari Mpya


Masista wa Dada wa Upendo waweka Nadhiri Baada ya Mafungo ya Siku 6.

Masista wa Dada wa Upendo wameweka nadhiri katika sikukuu ya Mwanzilishi wa Shirika Mama Antonia Maria Verna June,12,2018 huko Veyula, mkoani Dodoma baada ya kumaliza mafungo ya siku 6 yaliyokuwa yanaongozwa na Padre Damas Missanga, S.J. Pd.Kiongozi amewapongeza Masista kwa majitoleo yao kwa Mungu na kuwaasa Masista kuishi karama yao Upendo. 

Katika Mahubiri yake Pd. Missanga amekumbushia mambo makubwa matatu Unyenyekevu katika Utendaji, Upendo na Huduma kwa wahitaji.Masista wa Dada wa Upendo wakiweka nadhiri katika sikukuu ya Mwanzilishi wa Shirika Mama Antonia Maria Verna June,12,2018 huko Veyula, mkoani Dodoma.


Post a Comment

0 Comments