habari Mpya


Bunazi comani yaitungua Kagera combain 1-0

Pichani ni wachezaji wa Tumbili za Kagera combani na Bunazi combani wakijiandaa kwaajili ya mchezo wao.
WILIAM MPANJU RK-MISSENYI
Timu ya Kagera combain  imekubali kichapo cha bao 1- 0 dhidi ya timu ya Bunazi combain

Mchezo huo umechzwa  katika siku ya uzinduzi wa kampeni ya kupinga vitendo vya mimba za utotoni  uzinduzi ambao umefanyika  katika uwanja wa Mashujaa Bunazi wilayani Missenyi mkoani Kkagera chini ya ufadhili wa mkuu wa wilaya ya Missenyi Kanali Denis Mwila , halmashauri hiyo na wadau mbalimbali wanao piga vita vitendo vya mimba za utotoni kwa watoto.

Post a Comment

0 Comments