habari Mpya


Wakazi wa Kata ya Bulega,Geita wachanga Milioni 10.4 Kujenga Kituo cha Polisi.

Viongozi wa Kata ya Bulega mkoani Geita wakiwa kwenye Mkutano wa Hadhara wa kuchangia Ujenzi wa Kituo cha Polisi ndani ya Kata hiyo.
Wakazi wa Kata ya Bulega mkoani Geita wakiwa kwenye Mkutano wa Hadhara wa kuchangia Ujenzi wa Kituo cha Polisi ndani ya Kata hiyo kutokana na kuendelea kuvamiwa na Watu wasiojulika na kuporwa mali zao ambapo shilingi million 10 na laki 4 na elfu arobaini zimechangwa kupitia mkutano huo huku matarajio yao yakiwa ni kukusanya million 26,laki 7 na elfu 40.

Picha Na Gibson Mika –Radio Kwizera Geita.

Wananchi wa Kata ya Bulega mkoani Geita wakiwa kwenye Mkutano wa Hadhara wa kuchangia Ujenzi wa Kituo cha Polisi ndani ya Kata ambapo shilingi million 10 na laki 4 na elfu arobaini zimechangwa kupitia mkutano huo huku matarajio yao yakiwa ni kukusanya million 26,laki 7 na elfu 40.

Post a Comment

0 Comments