habari Mpya


Timu ya UMISETA Wilaya ya Sengerema Yarejea Nyumbani na Vikombe Vitano.

Mkurugenz wa Halmashauri ya Sengerema mkoani Mwanza Magesa Mafuru Boniface akipokea zawadi ya Vikombe kutoka Timu ya UMISETA 2018 ya Halmashauri hiyo mara baada ya kurejea kutoka kwenye michezo ya UMISETA ngazi ya mkoa wa Mwanza. 

 Picha Na- Erick Ezekiel –Radio Kwizera SENGEREMA.


Halmashauri  ya Sengerema imeshika nafasi ya pili Katika matokeo ya Jumla ikitanguliwa na Halmashauri ya Nyamagana iliyoongoza kimkoa Kati ya HalmashaurI  8 za Mkoa wa Mwanza.

Mwenye kofia ya njano ni Afisa Michezo wa Halmashauri hiyo na Mwenye traksut ya Bluu ni Afisa Utamadun.Post a Comment

0 Comments