habari Mpya


Timu ya UMISETA 2018 wilayani Ngara yaenda Viwanja vya Katoke na Matumaini Makubwa ya Ushindi.

Timu ya UMISETA 2018 wilayani Ngara Kagera ikiagwa na Mkuu wa wilaya hiyo Luten Kanali Michael Mtenjele tayari kwenda kupambana na timu nyingine za wilaya za Mkoa wa Kagera.

Mashindano hayo yatahusisha michezo mbalimbali na yatafanyika katika viwanja vya Chuo cha Ualimu Katoke wilayani Muleba. 


Luten Kanali Mtenjele akiongea na Vijana hao ,amewataka kutunza Nidhamu na Afya zao kwani  ni Vitu vitakavyo wafanya kukuza Vipaji vyao na kupata Maendeleo endelevu katika Michezo.

 

Post a Comment

0 Comments