habari Mpya


Tazama Taswira ya mji wa Bukoba mkoani Kagera.

Bukoba ni manispaa katika nchi ya Tanzania ambayo ni makao makuu ya Mkoa wa Kagera.

Eneo lake liko chini ya Halmashauri ya Bukoba mjini (Bukoba Municipal Council) yenye madaraka ya wilaya  Kulingana na sensa ya mwaka 2012 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa zaidi ya Watu 128,796.

Hizi hapa ni baadhi ya picha zikionyesha baadhi ya maeneo ya mji wa Bukoba.

Picha na Faustin Ruta.
 
 
 
 
 
 
 

Post a Comment

0 Comments