habari Mpya


TARURA wilayani Muleba hili Shimo Barabara ya Ikondo Vipi?


Shimo hili/Tundu hilo lipo katikati ya Barabara itokayo Muleba mjini ikielekea Kata ya Ikondo na Kata ya Buhangaza wilayani Muleba mkoani Kagera hali inayopelekea hali ya hatari kwa wanaotumia vyombo vya moto kupita barabara hiyo.
Shimo hilo limesababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Muleba mkoani Kagera.

Naimani Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini TARURA wilayani Muleba mtaiona barabara  hiyo na kuchukua hatua ya kuitengeneza kwa haraka.

Picha Na Shafiru Yusuf –RADIO KWIZERA –Muleba.

Post a Comment

0 Comments