habari


TADIO washiriki Maadhimisho ya Siku ya Uhuru Wa Vyombo vya Habari Kitaifa mkoani Dodoma.

Wajumbe wa TADIO wakiwa katika Picha ya Pamoja na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe (katikati pichani ) Walipohudhuria Maadhimisho ya Siku ya Uhuru Wa Vyombo vya Habari Duniani ambayo nchini Tanzania yanafanyika kitaifa mkoani Dodoma.

Kila Mei 2-3 kila mwaka ni siku za kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari duniani.

Picha Na Pd Damas Missanga.
Wajumbe wa TADIO wakiwa katika Picha ya Pamoja Walipohudhuria Maadhimisho ya Siku ya Uhuru Wa Vyombo vya Habari Duniani ambayo nchini Tanzania yanafanyika kitaifa mkoani Dodoma.

Post a Comment