habari Mpya


Sengerema na Tafakari ya Wiki ya Elimu.

Mkuu wa Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza Bw Emanuel Kipole akiwa pamoja na Watoto wa Darasa la awali Katika shule ya Msingi Nyamalunda ambako wilaya hiyo imeanza Maadhimisho ya Wiki ya Elimu Leo May 29, 2018.

Picha Na-Erick Ezekiel –Radio Kwizera Sengerema.

Mkuu wa Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza Bw. Emmanuel Kipole akioneshwa zana za ufundshaji Wanafunzi wa Darasa la Awali  Katika kujua Kusoma ,Kuandika na Kuhesabu wakati wa Maadhimisho ya wiki ya Elimu wilayani humo Leo May 29, 2018.

Wengine ni Viongozi mbalimbali wa Elimu wilaya ,Wadau na Wananchi.
Post a Comment

0 Comments