habari Mpya


Msaada kwa Bi Elizabeth Ndululutse wa Kitongoji cha Nyamiaga,Ngara.

Bi Elizabeth Ndululutse wa Kitongoji cha Nyamiaga wilayani Ngara mkoani Kagera  ana umri wa miaka 100 anaishi maisha magumu ya kukosa Msaada wa Mahitaji ya Kibinadamu.

Kwa yoyote atakayeguswa Kumsaidia atume msaada wake kupitia Sir Oliva Niyonzima,Radio Kwizera Ngara,Kagera au Simu namba +255766381705

Nyumba anayoishi Bi Elizabeth Ndululutse wa Kitongoji cha Nyamiaga wilayani Ngara mkoani Kagera  ana umri wa miaka 100 anaishi maisha magumu ya kukosa Msaada wa Mahitaji ya Kibinadamu.

Post a Comment

0 Comments