habari Mpya


Duka la Maige Hardware laungua Moto Mjini Kahama.Moja ya sehemu ya juu ya duka la Maige Hardware Mjini Kahama mkoani Shinyanmg'a lililoingua May 19,2018 na kusabisha hasara ya mamilioni ya fedha.

Picha Na Simon Dioniz-Radio kwizera KAHAMA.
Maeneo mbalimali ya Sehemu za Duka la Vifaa vya Ujenzi lililoungua mjini Kahama lakini kikosi cha Zimamoto wilayani humo waliwahi kuuzima.

Post a Comment

0 Comments