habari Mpya


Taswira Picha ya Soko Kuu Mjini Ngara mkoani Kagera.

Licha ya Halmashauri ya wilaya ya Ngara mkoani Kagera kushauriwa kutafuta fedha kupitia Vyanzo vyake vya Mapato ya ndani kuboresha Soko la mjini Ngara lenye matulubali yaliyochanika baada ya kuachwa na Wakimbizi raia wa Burundi mwaka 2006.

Wananchi na Wafanyabiashara wamekuwa wakikosoa kuhusu soko hilo halina hadhi kulingana na mahitaji ya Wananchi na mabadiliko ya hali ya hewa.

Hapa chini ni Soko hilo kama linavyoonekana kwenye Picha.Post a Comment

0 Comments