habari


Picha-Baadhi ya Madarasa ya Shule ya Msingi Murugaragara,Kata ya Rulenge wilayani Ngara,Kagera.

Muonekano wa Madarasa hayo ,yalijengwa na Wazazi ambapo Serikali ilijenga Madarasa Matano tu (hayapo pichani) na shule hiyo ina jumla ya Wanafunzi Zaidi ya 600.

 Picha na Sr.Oliva Niyonzima-Radio Kwizera Ngara.
Post a Comment