habari


Mvua ya Mawe Yaleta Maafa wilayani Biharamulo mkoani Kagera.

Kaya 150 za mkoani Kagera leo April 28, 2018 Jumamosi zimejikuta paa za nyumba zao zikiezuliwa na mvua ya mawe ambayo inaendelea kunyesha Biharamulo mkoani humo, pia mvua hiyo iliambatana na upepo mkali.

Ekari 460 za mashamba ya mazao ya Pamba, Mihogo, Alizeti na Mpunga zimeharibiwa vibaya.

Taarifa zaidi fatilia mtandao huu.


Post a Comment