habari


Msimamo wa VPL Ulivyo baada ya Mechi za April 11,2018.

Raundi ya 24 itakamilika Alhamisi ya Aprili 12, 2018 kwa michezo minne ambapo Mtibwa Sugar baada ya kupoteza kwa Simba bao 1-0 , watawakaribisha Ndanda FC katika Dimba la Manungu Complex Morogoro.

 Katika viwanja vingine, vinara Simba SC watawakaribisha Mbeya City kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na Ruvu Shooting watajaribu kuendeleza mtindo wa kupapasa dhidi ya Azam FC.

Post a Comment

0 Comments