habari Mpya


Msimamo wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara 2017/2018.

MSIMAMO WA LIGI ULIVYO SASA.

 Mechi nyingine kati ya wenyeji, Ruvu Shooting na Azam FC iliyopangwa kufanyika Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani imeahirishwa hadi leo April 13,2018 Saa 10:00 jioni tena kutokana na maji mengi kutuwama uwanjani baada ya mvua kubwa iliyonyesha April 12,2018.

Post a Comment

0 Comments