habari


Nyavu za Uvuvi haramu Elfu 3 zakamatwa Chini ya Ardhi -Sengerema.

Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani Sengerema mkoani Mwanza, imefanikiwa kukamata nyavu hizi za uvuvi haramu zaidi  ya elfu tatu mali ya Bw. Joseph Kando, mkazi wa kata ya nyamatongo zikiwa zimefukiwa  chini ya ardhi, katika makazi yake pamoja na injin za uvuvi ishirini na sita. 

Picha Na- Erick Ezekiel –Radio Kwizera -Sengerema.Post a Comment

0 Comments