habari


UEFA Europa League 2017/2018 - Arsenal kujiuliza kwa Lyon.

Shirikisho la soka Ulaya UEFA limeendesha droo ya robo fainali ya UEFA Europa League 2017/2018.

Baada ya droo hiyo kuchezeshwa Arsenal ambao waliwatoa AC Milan katika hatua ya 16 bora, wamepangwa na CSKA Moskva ya Urusi katika mechi hizo za robo fainali Arsenal akianzia nyumbani Uingereza.

Mechi za mwanzo zitachezwa Aprili 5 na zitarudiana wiki itakayofuata, Aprili 12,2018.

DROO KAMILI HAPA CHINI.
 

Post a Comment