habari


Kanisa la Anglikan Dioceses ya Kagera latoa Msaada Jiko Sanifu kwa Wananchi wa Kasange wilayani Ngara.

IMG_20180310_112350
Askofu wa kanisa la Anglikan Dioceses ya Kagera , Darlington Bendankeha katika picha ya pamoja na baadhi ya wananchi walio pokea msaada wa majiko sanifu kijiji cha Kasange Kata ya Kirushya wilayani Ngara mkoani Kagera.
IMG_20180310_112341
Askofu Darlington Bendankeha wakati akikabidhi majiko hayo Sanifu 50 yenye thamani ya shilingi  milioni 7 na laki 5 kwa wakazi kijiji Kasange wilayani Ngara mkoani Kagera msaada uliotolewa na kanisa la Anglikana Mrugwanza ameitaka Jamii imeshauriwa kutunza mazingira kwa kupanda miti ilikukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi yanayo sababishwa na uharibifu wa mazingira.
 
Amesema majiko hayo sanifu yanasaidia kubana matumizi ya kuni hivyo itasaidia kupunguza mahitaji yanishati hiyo na kuwataka wakazi waeneo hilo kupanda ili kuboresha mazingira yaliyo adhiriwa  na wakimbizi mwaka 1994.
IMG_20180310_110611
Mratibu wa Maendeleo ya Kanisa la Anglikani  Dioceses ya Kagera na Jamii Bw.Thomas Wiliam Shavu akielezea namna bora ya kulitumia Jiko Sanifu kwa Wananchi.
IMG_20180310_110619
Bw.Thomas Wiliam Shavu amesema Kanisa hilo na jamii amesema wameamua kutoa msaada huo ili kuwasadia wanawake wasio jiweza katika kukabiliana na uhaba wakuni katika eneo hilo.
IMG_20180310_110656
mwenye sweta Jekundu ni Mratibu wa Maendeleo ya Kanisa Anglikani  Diocess ya Kagera na Jamii, Bw. Thomas Wiliam Shavu akitoa maelekezo kwa wananchi namna kutumia jiko hilo sanifu na aliye vaa SUTI ni Askofu Darlington Bendankeha.
IMG_20180310_111322
IMG_20180310_111424
Pichani Juu na Chini ni Baadhi ya Wanafaika wakipokea msaada wa Majiko Sanifu.
IMG_20180310_111515
IMG_20180310_111645
IMG_20180310_110535
IMG_20180310_110528

Post a Comment