habari Mpya


Taswira Picha Radio Kwizera na UNHCR Pamoja Kampeni ya 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia ,Nyarulama,Kibogora,Ngara.

Katibu Tawala wa wilaya ya Ngara ,Mkoani Kagera Vedastus Tibaijuka (mwenye maiki) akikabidhi mipira ya mchezo wa soka kwa Uongozi wa shule ya sekondari Kibogora na amesema kwamba Serikali itaendelea kusapoti michezo kwa sababu ya umuhimu wake, lakini akataka kutafutwa mbinu za kuhakikisha wadhamini wanasapoti timu na klabu mbalimbali zinazoshiriki  michezo yote ili kuleta maendeleo,kukuza michezo husika na kuleta mafanikio.Post a Comment

0 Comments