habari Mpya


Majina Matatu yaliyotajwa na CAF kuwania Tuzo za CAF 2017.

Shirikisho la soka barani Afrika CAF leo Jumatatu ya December 18 2017 limetangaza finalist ya wanaowania tuzo za CAF kwa mwaka 2017 ambapo CAF imetaja MAJINA MATATU BORA ya wanaowania tuzo hizo katika vipengele vyote.


TUZO HIZO ZITATOLEWA, 4 January 2018 in Accra, Ghana.


Wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa mwaka 2017

·       Mohamed Salah (Egypt & Liverpool)
·       Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon & Dortmund)
·       Sadio Mane (Senegal & Liverpool) 

Wachezaji watatu wanaowania tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa mwaka 2017 kwa upande wa wanawake.

·       Asisat Oshoala (Nigeria & Dalian Quanjian)
·       Chrestina Kgatlana (South Africa & UWC Ladies)
·       Gabrielle Aboudi Onguene(Cameroon & CSKA Moscow)
Wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora chipukizi kwa mwaka 2017

·       Krepin Diatta (Senegal & Sarpsborg)
·       Patson Daka (Zambia & Liefering)
·       Salam Giddou (Mali & Guidars)

Makocha wanaowania tuzo ya kocha bora Afrika kwa mwaka 2017

·       Gernot Rohr (Nigeria)
·       Hector Cuper (Egypt)
·       L'Hussein Amoutta (Wydad Athletic Club)Klabu tatu zinazowania tuzo ya club bora kwa mwaka 2017

·       Al Ahly
·       TP Mazembe
·       Wydad Athletic Club

Timu tatu zinazowania tuzo ya timu bora ya taifa kwa upande wa wanaume kwa mwaka 2017.

·       Cameroon
·       Egypt
·       Nigeria

Timu tatu zinazowania tuzo ya timu bora ya taifa kwa upande wa wanawake kwa mwaka 2017.

·       Ghana U-20
·       Nigeria U-20
·       South AfricaPost a Comment

0 Comments