habari Mpya


Wanafunzi Shule ya Msingi Buhororo iliyopo wilaya ya Ngara mkoani Kagera wakikimbia Mchakamchaka kuimarisha Ukakamavu wa Miili na Afya zao.

Wanafunzi wa Shule ya Msingi   Buhororo iliyopo Kata ya Kibimba ,wilaya ya Ngara mkoani Kagera wakiwa  kwenye viunga vya shule hiyo wakikimbia mchakamchaka kuimarisha ukakamavu wa miili na afya zao  shuleni  hapo wakiwa kwenye utekelezaji wa agizo la Afisa Elimu wa mkoa wa Kagera  Bw. Aloyse Kamamba  aliyeagiza tangu Januari mwaka huu 2017, Wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari mkoani humo  kuingia darasani baada ya kushiriki mchakamchaka kuchangamsha akili na kumudu masomo yao vizuri.


Picha na Shaaban Ndyamukama. 


Post a Comment

0 Comments