habari Mpya


Taswira Picha Mamba Apigwa Risasi katika eneo Capri Point-Mwanza.

Mamba huyu ameuawa kwa kupigwa risasa na Maliasili baada ya kuibuka katika eneo la kivuko cha kwenda Hifadhi ya Saanane pale Capri point wilayani Nyamagana mkoani Mwanza na hivyo kuleta taharuki kwa wakazi wa eneo hilo.
PICHA NA- Frederick KatulandaPost a Comment

0 Comments