![]() |

![]() |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Watanzania waishio nchini Uganda katika eneo la Masaka.
|

![]() |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa
Uganda Yoweri Museveni wakati wakizungumza na wanahabari mara baada kumaliza ya
kufanya mazungumzo.
|


![]() |
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja
aliombatana nao katika Mazungumzo na ujumbe wa Uganda uliokuwa ukiongozwa na
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni katika Ikulu ya Masaka nchini Uganda.
|
![]() |
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akicheza ngoma na
kikundi cha Ngoma za Asili cha Cranes Performance mara baada ya dhifa ya
kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni
katika Ikulu ya Masaka nchini Uganda.
|
![]() |
Kikundi
Cranes performance kikitumbuiza katika dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa ajili
ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika
Ikulu ya Masaka Uganda.
PICHA NA IKULU
|

0 Comments