habari Mpya


Mataifa 25 yaliyofuzu Kombe la Dunia 2018 ,Mataifa ya Kiarabu yakiwa Manne.

1
Neymar da Silva Santos Jr - Brazil.

Kuelekea Mwezi  June 2018 Mashindano makubwa wa Soka ya Kombe la Dunia 2018  yanataraji kutimua vumbi nchini Urusi kwa Mataifa 32 kuanza kupimana nguvu kisoka, hadi kufikia Jana November 11, 2017 ni mataifa 25 ndio yamefuzu.
2
Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro -Ureno.
Bara la Afrika ambao hutoa mataifa matano katika kila michuano ya Kombe la Dunia, litawakilishwa na nchi za Tunisia, Nigeria, Morocco, Senegal na Misri kwani ndio timu zilizofuzu huku michuano ya 2018 ndio kwa mara ya kwanza tutaona mataifa manne ya kiarabu kwa pamoja yakishiriki michuano hiyo ambayo ni (Misri, Tunisia, Morocco na Saudi Arabia.

3
Lionel Andre's Leo Messi Cuccittini -Argentina.
Kuna michezo saba ya mwisho ya Play off ambayo ndio itaamua timu gani saba pamoja na mwenyeji Urusi zitaungana na zile 25 kucheza Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.
 
LIST YA MATAIFA 25 YALIOFUZU KUCHEZA KOMBE LA DUNIA 2018.
 
1- Nigeria
2- Morocco
3- Misri
4- Tunisia
5- Senegal
6- South Korea      
7– Saudi Arabia
8– Japan
9– Iran
10– Panama
11– Costa Rica
12– Mexico
13– Uruguay
14– Colombia
15– Brazil
16– Argentina
17– Hispania  
18– Serbia
19– Ureno
20– Poland
21– Iceland
22– Ujerumani
23– Ufaransa
24– England
25– Ubelgiji
26– Urusi.

Post a Comment

0 Comments